Biashara ya dagaa wa Nyama

Biashara ya dagaa wa Nyama

baby nillaah

Senior Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
110
Reaction score
64
Habari wakuu,

Nauliza ni wapi naweza pata dagaa nyama wa jumla, nipo mkoani nawaza kuwafata Zanzibar lakini mtaji wangu bado ni mdogo.
 
Tanga wamejaa kinoma noma tu.




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kachukue Tanga maeneo ya Sahare,pangani,kipumbwi na mkwaja, huko Zanzibar utaenda ukiwa na mtaji mkubwa.

Usafiri wa boti kwa gunia, utalipia TPA kwa kila Cubic meter 1 ni usd 5, gharama za kupakia na kushusha, usafiri wa kutoa bandarini mpaka ulipo. Zanzibar ni ghali
 
Back
Top Bottom