PoleBiashara ya dagaa ina hela ila ukiifanya vizur mkuu nisha hustle sana na hii biashara lakin naamin itanipa hela tu . Nisha tapeliwa na watu wa kisiwan nishatapeliwa na watu wa sokon nishapata hasara lakin siichok na soon nataka nirud na mkakati mpya wakisasa kwenye hii biashara
Biashara ya dagaa ina hela ila ukiifanya vizur mkuu nisha hustle sana na hii biashara lakin naamin itanipa hela tu . Nisha tapeliwa na watu wa kisiwan nishatapeliwa na watu wa sokon nishapata hasara lakin siichok na soon nataka nirud na mkakati mpya wakisasa kwenye hii biashara
Ni wapi ulikosea ili wemgine wapate kujifunza?Biashara ya dagaa ina hela ila ukiifanya vizur mkuu nisha hustle sana na hii biashara lakin naamin itanipa hela tu . Nisha tapeliwa na watu wa kisiwan nishatapeliwa na watu wa sokon nishapata hasara lakin siichok na soon nataka nirud na mkakati mpya wakisasa kwenye hii biashara
Kuna yule mdada yuko twitter (X) maarufu kwa kuuza dagaa na samaki kutoka Mwanza unaweza kumcheki pia anajiita TricyLove anaweza kukupa 1 na 2 ya hiyo biasharaNina mtaji wa kama 1m nimefikiria nianzishe biashara hasa ya dagaa hasa za nwanza zisizo na mchanga
Nahitaji msaada wenu hasa
*Bei ya ndoo na inakuwa kilo ngapi
*Bei ya gunia na linakuwa na kilo ngapi
*Chimbo la kuuzia kwa jumla na rejareja
*n.k hasa kwa wazoefu
Kambi popote
Oh Asante bro ni miezi gani huko kisiwani mvua zinakataMfano katika kipindi hiki,, bei kidogo ipo juu maana mvua zinanyesha sana huko visiwani, kwahiyo Kuna uhaba wa jua( Nishati inayotumika kukausha Dagaa).
Dumu linauzwa hadi Shilling 24000/=.
Gunia linakuwa na ujazo wa Dumu 20 au 10.
Uzito wake waweza kuwa Kg 80 kwa gunia lenye ujazo wa dumu 20 na Kg 40 kwa gunia la dumu 10.
Kwa experience ya visiwa vya Bukoba mvua zinaweza nyesha kwa huu mwezi wa 9 na 10 pia.Oh Asante bro ni miezi gani huko kisiwani mvua zinakata
Nauli ya kutoka mwanza mpaka kwenye hicho kisiwa bukoba ni kiasi ganiKwa experience ya visiwa vya Bukoba mvua zinaweza nyesha kwa huu mwezi wa 9 na 10 pia.
Lakini nachoweza kukushauri ni kwamba ingia mzigoni mkuu upige kazi,, kwenye icho kipindi cha mvua,, mzigo unaweza kuwa changamoto kukusanya lkn uzuri ni kwamba ukiupata, sokoni pia utauza kwa bei nzuri sana.
Inategemea sasa ndg unataka kwenda kisiwa cha wapi..Nauli ya kutoka mwanza mpaka kwenye hicho kisiwa bukoba ni kiasi gani
Nataka nikatafute connection kule au nimpeleke mtu awe ananitumia mzigo mi nausambaza
Wapi Kerebe ? Nakukumbuka Rehema mlitaka kuniua .Inategemea sasa ndg unataka kwenda kisiwa cha wapi..
Binafsi,, nina taarifa na kisiwa kimoja kinachoitwa MULUMO, kutoka mwanza mpaka hapo kuna wastani wa Shilling 25000.
Hahaha..mkuu kisiwani watu wengi wenyeji wa huko washajikataa aseh.Wapi Kerebe ? Nakukumbuka Rehema mlitaka kuniua .
Kichwa cha chini ni shetani sana
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
mkuu kisiwa cha GOZIBA ushafika? Nimeshauriwa nitulie mpaka mvua zikate kwanza kwasababu sasa hivi bei ya dagaa ipo juu itanisumbua kupata mteja sokoni hii ni kweli mkuu?Kwa experience ya visiwa vya Bukoba mvua zinaweza nyesha kwa huu mwezi wa 9 na 10 pia.
Lakini nachoweza kukushauri ni kwamba ingia mzigoni mkuu upige kazi,, kwenye icho kipindi cha mvua,, mzigo unaweza kuwa changamoto kukusanya lkn uzuri ni kwamba ukiupata, sokoni pia utauza kwa bei nzuri sana.
Goziba Tsh. 15,000/= MV NYEHUNGE na inapita na kusimama visiwa vyote zaidi ya Vinne kabla ya kufika Goziba. View attachment 2759375View attachment 2759376mkuu kisiwa cha GOZIBA ushafika? Nimeshauriwa nitulie mpaka mvua zikate kwanza kwasababu sasa hivi bei ya dagaa ipo juu itanisumbua kupata mteja sokoni hii ni kweli mkuu?
Goziba Tsh. 15,000/= MV NYEHUNGE na inapita na kusimama visiwa vyote zaidi ya Vinne kabla ya kufika Goziba. View attachment 2759375View attachment 2759376View attachment 2759378View attachment 2759377