the-true-wash
Senior Member
- Oct 14, 2012
- 142
- 109
Hapa Tanzania unanunua hiace milioni 25, inachukua watu 15 wakilipa nauli ya tshs 400,
hapo toa hesabu ya mafuta, service, mshahara, mapato, bima, road licence, faini na rushwa,
mpaka urudishe hela yako uliyonunulia nadhani ni miaka 2 (hapo hujaipunguza kwa kuzingatia ile kanuni ya time value of money)
mara 10 hiyo hela ukafanyie kilimo
kama ulikuwepo ndugu yangu hawapendi kuwa na watu wengine ni watu wanaopena kukaa kipekee na kufanya mamboyao kipekee tuWatu wa Zimbabwe ni wabaguzi sana.
wewe unadhani ni ngapi?Duuuuh! Bei ya hiace imefika huko kweli?
Ingia kupatana mkuu utashangaa hiace ina bei kuliko coster.Duuuuh! Bei ya hiace imefika huko kweli?
Kule wamejazana madalali kibao mkuuIngia kupatana mkuu utashangaa hiace ina bei kuliko coster.
Acha mambo yako ya Kijinga jinga watu wasifanye Business kisa Mitaji afu PIA Kama hujui au hizo hela za kununua Hiece soma Comments za wanaume wenzio sepa .Hiace inakulipa ndani ya Mwaka na nusu tu tusitishane.
Na sio kwamba kila bishara mtu afanye,unafanya unayopenda,sasa jiulize inakuwaje mtu ananunua moja then anaongeza nyingine?ukiwa bahili wa kuhudumia gari basi itakushinda na wengi wanafeli hapo.
Pia,mleta uzi umekurupuka,hakuna sheria itakuruhusu kirahisi Foreigner kufanya biashara ya Kidalala chako cha mawazo,inaruhusiwa ni Kampuni tu na lazima uonyeshe Mtaji wa kutosha na mipango ya Kampuni,so ni mamilioni ya pesa.
Ahsante Sana Mkuu hata mi nasikia inalipa Sana per day Unacheza na 100$ mpaka 80$ ngoja kwanza nistue wenye Nazo wachangamkie fursa.Guys juzi juzi nilikua Zimbabwe napenda ku-share nanyi kwamba kule biashara hii inalipa sana.
Kwa siku hiace (high/super roof) inaingiza 80$ na flat base inaingiza 60$.
Changamkieni.