biashara ya danguro

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
pamoja na kwamba watanzania tumekuwa mstari wa mbele kutetea maadili yetu hasa yanayohusiana na mambo ya mapenzi,bado kuna vitu navishangaa na mara nyingine vimeonekana ni vya kawaida na jamii inaonekana kuvikubali...

Kumekuwa na madanguro mengi sana hapa mjini ambayo yako katika makazi ya watu tena unakua zaidi ya vyumba 15 vimepangana na ni kati kati ya makazi ya watu na wateja wanaingia na kutoka kuanzia saa 1 usiku.

Je,jamii inayafumbia macho na kuridhika?kuna tofauti gani kati ya hayo na wale wanaojipanga bara barani ambao ndo tunawapiga vita?Tunawafundisha nini watoto wadogo ambao ndo taifa lijalo?
 
Kuna baadhi ya makabila, mwanamke akiwa ana bwana mmoja tu anaonekana hajakamilika.
Makabila hayo yanajulikana
 
We umejuaje kama hayo ni madanguro! kuna tofauti gani kati ya nyumba ya kawaida na danguro? mtu akisema nyumba yenu ni danguro, je utabisha?
 
danguro ni eneo ambalo linatumika kufanya vitendo vya uasherati hasa pale uasherati unapofanyika kama biashara
 

kamuulize kaka kenyela kilicho mkuta kinondoni..
 

mkuu wapihuko nasisi tukajionee wenyewe!?
 
Pita mwananyamala au Temeke Sudani utayaona yote haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…