C Cosmasjulius JF-Expert Member Joined May 22, 2018 Posts 695 Reaction score 1,011 Aug 16, 2023 #1 Siku za karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la famasi au maduka ya dawa lakini wengi wameishia kufunga biashara na kukimbia frame. Je, tararatibu zipi za kufuata? Unafanyaje ili uweze kufanikiwa kwenye biashara hii hadhimu ya dawa? Zipi ni dawa muhimu na zinatoka kwa haraka na wapi utazipata? Location Je ina umuhimu gani kwenye biashara hii ya dawa? Karibu tuongee na kama unataka kufanya biashara hii check me PM.
Siku za karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la famasi au maduka ya dawa lakini wengi wameishia kufunga biashara na kukimbia frame. Je, tararatibu zipi za kufuata? Unafanyaje ili uweze kufanikiwa kwenye biashara hii hadhimu ya dawa? Zipi ni dawa muhimu na zinatoka kwa haraka na wapi utazipata? Location Je ina umuhimu gani kwenye biashara hii ya dawa? Karibu tuongee na kama unataka kufanya biashara hii check me PM.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Aug 16, 2023 #2 Cosmasjulius said: na wapi utazipata?? Click to expand... Hapa inategemeana na wewe ulipo au vipi bhana
Cosmasjulius said: na wapi utazipata?? Click to expand... Hapa inategemeana na wewe ulipo au vipi bhana
C Cosmasjulius JF-Expert Member Joined May 22, 2018 Posts 695 Reaction score 1,011 Aug 16, 2023 Thread starter #3 Sa 7 mchana said: Hapa inategemeana na wewe ulipo au vipi bhana Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu karibu upate madini
Sa 7 mchana said: Hapa inategemeana na wewe ulipo au vipi bhana Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu karibu upate madini
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,753 Reaction score 1,968 Aug 18, 2023 #4 Mkuu wewe tuwekee madini tu hapa, PM watakuja automatic wale watakaoguswa. Inaonekana hayo maswali uliyouliza wewe ndiyo mwenye majibu yake. Weka madini ili watu waongezee madini mengine.
Mkuu wewe tuwekee madini tu hapa, PM watakuja automatic wale watakaoguswa. Inaonekana hayo maswali uliyouliza wewe ndiyo mwenye majibu yake. Weka madini ili watu waongezee madini mengine.
GITWA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,572 Reaction score 1,781 Aug 18, 2023 #5 Mkuu shusha madini mtu akivutiwa atakutafuta huko PM
Mildotty JF-Expert Member Joined Jun 29, 2016 Posts 278 Reaction score 198 Nov 1, 2023 #6 Mimi natamani sana kufanya hii biashara ya Dldm kutokana na mtaji wangu kuwa mdogo lkn sina mwongozo hasa wa maeneo yanayofaa yanayoruhusiwa na ambapo nikiweka biashara itatoka msaada plss.. Popote hapa Dsm nkipata eneo ntashukuru sana!
Mimi natamani sana kufanya hii biashara ya Dldm kutokana na mtaji wangu kuwa mdogo lkn sina mwongozo hasa wa maeneo yanayofaa yanayoruhusiwa na ambapo nikiweka biashara itatoka msaada plss.. Popote hapa Dsm nkipata eneo ntashukuru sana!