Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,080
Habari za Jpili JF, Nina wazo la kuanzisha Duka la kisasa la Dawa za mifugo, naishi eneo la wafugaji hivyo sina wasiwasi na wateja. Issue ni dondoo za biashara hii, mfn.Dawa za jumla zinanunuliwa wapi, utaratibu wa kusajili, nk. Naomba ushauri wenye Tija