Nafikilia kufanya biashra ya dawa za binadam kutoka india hapa nchini , tatizo kubwa sifaham taratibu za vibari pamoja na kanuni za kuingiza mizigo kupitia bandari zetu hapa nchini , naombeni mchango wa mawazo wana JF
Utatakiwa kuwa na mfamasia,kusajili kila dawa utakayo import kama haijasajiliwa na tfda
pia utatakiwa kua na eneo/mfumo wa utunzaji wa dawa zako na unapaswa kutafuta clearance agent au kampuni itakayoshughulika na uingizwaji mzigo