Biashara ya delivery

Biashara ya delivery

godson meku

Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
26
Reaction score
7
Kwema wakuu.!! nilikua nahitaj kupata mchango wa mawazo kwa wale wenye uzoef kidogo na biashara gani mtu anaweza fanya kwa kuzungusha madukani na kufanya delivery kwa baadh ya watu.

mfano hawa wanaotembeza sigara kwa pikipiki.

Tofauti na hivo ni biashara gani nyingne unaweza ifanya kwa mzunguko kama huo.

shukrani sana.!!
 
Mimi nauza online
Natangaza leo kupitia mitandao ya kijamii, siku inayofuata nasambaza oda za Jana huku natafuta za siku inayo fuata

Na maisha yanasonga kama kawa
Unaweza uza vipodozi vile quality sio vya Bei chee, kiufupi kila kitu unaweza uza
 
Back
Top Bottom