K kunyala Member Joined Apr 11, 2013 Posts 76 Reaction score 18 Oct 17, 2013 #1 Tafadhalini wakuu naomba yeyote mwenye utaalamu wa biashara hii Tanzania anipe mwongozo.nataka niijaribu kwa ujasiriamali.Kule shinyanga inatikana vp na nani ni wanunuzi wakubwa na inachukuliwa ikiwa katika hali gani.Namaliza na shukrani.
Tafadhalini wakuu naomba yeyote mwenye utaalamu wa biashara hii Tanzania anipe mwongozo.nataka niijaribu kwa ujasiriamali.Kule shinyanga inatikana vp na nani ni wanunuzi wakubwa na inachukuliwa ikiwa katika hali gani.Namaliza na shukrani.