biashara ya dhahabu

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
habarini wanajamvi. jamani naombeni mwenye kufahamu vizuri biashara hii ipo vipi. binafsi sifahamu imekaa vp ila natamani sn kufanya biashara ya kununua dhahabu kwenye migodi hapa tz na kwenda kuuza nairobi kwani nimesikia soko ni zuri huko. kwa mwenye ufahamu naomba msaada na jinsi ya kuyatofautisha original na fake. natanguliza shukrani zangu
 
Dhahabu itafute uifahamu kwanza..uishike uielewe kabla ya kujiingiza kwenye biashara...jaribu kufanya safari kwenda kwenye migodi midogo midogo then uelewe kwanza halafu huko nipo utapata bei ya shambani hii inategemea na eneo na eneo halafu from there ndio unaweza kudetermine utaiuza raw kwa bei gani ila kuwa na scale ni muhimu na pia (mguu wa kuku) in case mtaji wako ni mkubwa.
 

asante sn kwa ushauri wako
 

............na huko inabidi uwe mbabe kweli kweli pia uwe na wapambe wa kutosha............
 
ubabe kwa sababu ya nini sijakuelewa vizuri
Anakutishia tu ila si unajua story za migodini ila kama unataka info zaidi ni pm nikupe maelezo na kama unataka kuifahamu dhahabu na biashara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…