Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi iko kwako huko..wakongaman n wasumbufu sna kwao..tz hakuna tatzo.waone wizara ya nishati namadin watakupa kibali
KWANZA UNATAKIWA USAJILI KAMPUNI
pILI UPATE KIBALI KUTOKA MADINI (DEALER LICENCE)
Lakini kwa ushauri kongo kwa biashara hiyo kama unaanza itakusumbua sana kwa sababu
1. Mambo ya kiusalama
2. Wakongo ni matapeli sana ijapokuwa hata hapa Tz wapo.
Nakushauri utulie sana katika kufanya hiyo biashara kama vp unaweza kuni pm nikakuelekeza zaidi
aise ww unahangaika na kibali unataka kumiliki cremu au?km unataka kumiliki cremu tafuta kwanz cremu..then kibali
Ujue mm mkuu kunasehem kunasehem kwee miliman kuna madin ya dhahabu vjna wana kimbizwa kimbizwa kweli wakienda kujitafutia risk huko unachimba Mita sita au saba unakutana na mzigo, nikiangalia kwa upande mmoja ni biashara tena nzurii tu na pia naweza inua kipatao cha wananch wa karibu kwa kiwaajir , napia sitak kwenda kinyemela ndo maana nauliza kwa wanao jua elimu ya hii kitu inakuaje ukitaka kuanza machimbo kwa raia inakuaje kuhusiana na vibali na malipo yoteKWANZA UNATAKIWA USAJILI KAMPUNI
pILI UPATE KIBALI KUTOKA MADINI (DEALER LICENCE)
Lakini kwa ushauri kongo kwa biashara hiyo kama unaanza itakusumbua sana kwa sababu
1. Mambo ya kiusalama
2. Wakongo ni matapeli sana ijapokuwa hata hapa Tz wapo.
Nakushauri utulie sana katika kufanya hiyo biashara kama vp unaweza kuni pm nikakuelekeza zaidi
Nathubutu kusema "usithubutu biashara ya dhahabu", hiyo biashara ni nzuri kuiona na kuisikia tu. Ukiingia...hutoamini.
Nakushauri, achana na biashara hiyo, I've a vast experience on it.
Nathubutu kusema "usithubutu biashara ya dhahabu", hiyo biashara ni nzuri kuiona na kuisikia tu. Ukiingia...hutoamini.
Nakushauri, achana na biashara hiyo, I've a vast experience on it.