Biashara ya Dhahabu

Neybro

Senior Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
126
Reaction score
41
Wadau nataka kufanya biashara ya dhahabu kutoka kongo!Sijajua soko lake likoje hapa kwetu ktk biashara hii pia ni taratibu zipi zinatakiwa nizifuate ili nifanye hii biashara kihalali!Yaan kama kuna kujisajili na utaratibu mwingine pia!Mawazo yenu please
 
Kazi iko kwako huko..wakongaman n wasumbufu sna kwao..tz hakuna tatzo.waone wizara ya nishati namadin watakupa kibali
 
Kazi iko kwako huko..wakongaman n wasumbufu sna kwao..tz hakuna tatzo.waone wizara ya nishati namadin watakupa kibali

Yaaah mimi nitakomaa nao tu wale isitoshe nishaanza kuandaa mtandao nawatu wa kule so hilo halina tatizo mkuu!So inatakiwa nifike wizaran pale pale nishati na Madini?
 
KWANZA UNATAKIWA USAJILI KAMPUNI
pILI UPATE KIBALI KUTOKA MADINI (DEALER LICENCE)
Lakini kwa ushauri kongo kwa biashara hiyo kama unaanza itakusumbua sana kwa sababu
1. Mambo ya kiusalama
2. Wakongo ni matapeli sana ijapokuwa hata hapa Tz wapo.
Nakushauri utulie sana katika kufanya hiyo biashara kama vp unaweza kuni pm nikakuelekeza zaidi
 
Nashukuru sana mkuu nitakuPM ili uzidi kunipa elimu!Ndio maana nimehitaji ushauri wenu!Sikutaka kukurupuka nikahitaji ushauri kabla ya yote
 
kuna sehem nying tu tanzania ukitaka kuwekeza kwenye madin na kweli ukafata sheria yani TRA wabakutambua na unataj wa kutosha unafanikiwa sema bado watu hawajiamini kwenye hii sekta, swali langu hivi kibali kwa raia wa hapa hapa Tanzania inaweza kuwa mill ngap??
naombeni mnijuze wakuu....
 
aise ww unahangaika na kibali unataka kumiliki cremu au?km unataka kumiliki cremu tafuta kwanz cremu..then kibali
 
aise ww unahangaika na kibali unataka kumiliki cremu au?km unataka kumiliki cremu tafuta kwanz cremu..then kibali

Yaah kinachohitajika ni kujua taratibu zipo vipi mkuu ili ninapotaka kuianza nijue chakwanza natakiwa nifanye hiki then hiki then hiki so nahitaji kujua je labda ili ujisajili unahitajika kufanya this this and this Mtaji kwangu sio tatizo
 
Ujue mm mkuu kunasehem kunasehem kwee miliman kuna madin ya dhahabu vjna wana kimbizwa kimbizwa kweli wakienda kujitafutia risk huko unachimba Mita sita au saba unakutana na mzigo, nikiangalia kwa upande mmoja ni biashara tena nzurii tu na pia naweza inua kipatao cha wananch wa karibu kwa kiwaajir , napia sitak kwenda kinyemela ndo maana nauliza kwa wanao jua elimu ya hii kitu inakuaje ukitaka kuanza machimbo kwa raia inakuaje kuhusiana na vibali na malipo yote
Ni hayo tu ..
 
Maeneo ya dhahabu yapo mengi yametelekezw sbb n mtaji..km unamtaji nipm nikuonyeshe maeneo then ukate kibali.
 
Nathubutu kusema "usithubutu biashara ya dhahabu", hiyo biashara ni nzuri kuiona na kuisikia tu. Ukiingia...hutoamini.

Nakushauri, achana na biashara hiyo, I've a vast experience on it.
 
Nathubutu kusema "usithubutu biashara ya dhahabu", hiyo biashara ni nzuri kuiona na kuisikia tu. Ukiingia...hutoamini.

Nakushauri, achana na biashara hiyo, I've a vast experience on it.

Kwanini mkuu?
 
Nathubutu kusema "usithubutu biashara ya dhahabu", hiyo biashara ni nzuri kuiona na kuisikia tu. Ukiingia...hutoamini.

Nakushauri, achana na biashara hiyo, I've a vast experience on it.

Tupe sababu ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…