Biashara ya Digrii kutoka Uingereza na Marekani ni Ugonjwa kwa watu wengi

Ndugu KANYEGELO ,

Nashukuru kwa kubandika andiko hili nililopost Facebook kwenye hili jukwaa. Najua mjadala huu sio rafiki sana kwa watu wengi maana :wakristo" na "makanisa" mengi yamejiingiza kwenye hii biashara kwa kasi sana.

Hata hivyo nimeona ni vema niweke huu mjadala kwenye public, who knows, huenda kuna wanaojiingiza kwa kuwa hawaujui ukweli.

NB: Hiyo sentence ya mwisho kuhsu makanisa na TCU nadhani umeongeza wewe maana haiko sikuindika kwenye ujumbe wangu. Ingekaa vema kama ungeonesha hiyo ni your own reflection based on what the message presents.

MM
 
Pata degree yako ya Theology kutoka Ulaya, fungua kanisa lako na maisha yaendelee.
 
Nimerekebisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…