Biashara ya disposable items

Adoo

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
73
Reaction score
29
Tunauza bidhaa za kutumia na kutupa (disposable), bidhaa zetu ni bora na bei nafuu, watumiaji ni watu wenye shughuli mbalimbali, mahoteli, madukani n.k, wasiliana nasi kwa email adoo1@hotmail.com au wacha ujumbe hapa JF, shukran.
 

Attachments

  • image.jpg
    582.5 KB · Views: 104
  • image.jpg
    462.4 KB · Views: 96
  • image.jpg
    612 KB · Views: 97
  • image.jpg
    689.4 KB · Views: 95
  • image.jpg
    289.3 KB · Views: 74
Mkuu hadi visu ni disposable ?

Kweli huku ni kutunza mazingira ?, Hongereni sana kwa mengine ila hapo kwenye visu, kwakweli siwaungi mkono.
 
ungeweka na namba ya simu ya biashara, maana siku unatakiwa kutochanganya simu ya biashara na ya marafiki.
 
Tunapatikana Kigamboni mwanzoni tu, ila ukiwasiliana nasi kwa email basi tunaweza kuongea zaidi, shukran
 
Wazo muafaka sana ila ndio maana tukaamua kutoa email addr au hapa JF, hilo pia litafikiriwa, asante kaka
 
Mkuu hadi visu ni disposable ?

Kweli huku ni kutunza mazingira ?, Hongereni sana kwa mengine ila hapo kwenye visu, kwakweli siwaungi mkono.

ni kweli nimechemka hapo ndg yangu, kwa hilo nilitakiwa niseme disposable na vitu vingine vya kudumu, samahqni na shukrani sana kwa kunilengesha kwa hilo 🙂
 
tunauza bidhaa za kutumia na kutupa (disposable), bidhaa zetu ni bora na bei nafuu, watumiaji ni watu wenye shughuli mbalimbali, mahoteli, madukani n.k, wasiliana nasi kwa email adoo1@hotmail.com au wacha ujumbe hapa jf, shukran.

mimi nina kampuni yangu, tuko mby , tufanye uwakala, nipm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…