Deo Benjamin
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 308
- 92
Ninataka kufungua Driving school maeneo ya Boko, Dar es Salaam nina nyumba ambayo nitaifanya ofisi na baadhi ya vyumba nitavitumia kama madarasa kwa ajili ya wanafunzi.
Vitu nilivyonavyo:
1. Nyumba ya vyumba vitano ambayo viwili vitakuwa ofisi na vitatu vitakuwa madarasa kwa ajili ya wanafunzi
2. Nina saloon Cars tatu na station wagon moja
3. Nina parking ya kutosha na niko karibu sana na barabara kuu iendayo Bagamoyo, takribani dakika 3
Ningependa kufahamu:
1. Jinsi ya kusajili biashara hii na gharama zake?
2. Ni wapi naweza kupata vifaa vya kufundishia - driving school materials na manuals?
3. Ni vitu gani vingine vya ziada natakiwa kuwa navyo ili kufanikisha biashara hii?
4. Vipi kuhusu mtaji mbali na baadhi ya vitu nilivyo viainisha kuwa ninavyo tayari?
5. Madereva wakufunzi wanatakiwa kuwa na sifa gani?
4. Biashara hii ina changamoto gani?
Asanteni