Biashara ya fanesi

Biashara ya fanesi

mtu watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,123
Reaction score
1,617
Habari za muda huu wakuu, ni tumaini langu mko salama. Na mnasongesha gurudumu ili La kila siku ilihali maisha yaenende sawia.

Sipo hapa kuwachosha sana, Mimi nimekuwa ni mpenzi sana na navutiwa sana na hii biashara ya fenesi maana ni tunda ambalo naona linapendwa na watu wengi kama siyo wote.

Ningeomba ushauri wenu kutaka kuifanya biashara hii kuwa kivutio na tunda kwa walaji, nitumie njia gani ili biashara hii iweze kuwafikia walaji kwa wakati.

Naombeni ushauri, kama pia humu walaji mpo muwe tayari kunipa ushirikiano

Asanteni
 
Back
Top Bottom