Wana jf. Hususan forum ya biashara na uchumi. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa biashara ya fast food. Yaan nataka niuze samaki wabichi pamoja na nyama ya ng'ombe on the same shop.
sijui niiteje basi kama sio fast food.is this fast food business .... ? I advice you to venture into ready to eat foods like fried fish, chicken, chips etc ... you will have good sales. .. fresh produce location and hygiene are key factors
Wana jf. Hususan forum ya biashara na uchumi. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa biashara ya fast food. Yaan nataka niuze samaki wabichi pamoja na nyama ya ng'ombe on the same shop.
Naomba uzoefu wenu na maoni yenu
Duh kweli nimechemka sana, wasukuma wanasema "mashikolo mageni"