Biashara ya fedha mipakani

Upanga

Senior Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
145
Reaction score
50
Ndugu wapendwa napenda kujuwa kuhusu biashara ya fedha za kigeni (usd/ tshs) zinazofanywa kwenye mipaka yetu hususa Tunduma, nilipanda gari za IT zinazoenda mpakani, ndani ya ile gari kulikuwa na vijana watatu ambao ni watanzania katika kupiga nao story walinieleza wao huja dar toka tunduma mara kadhaa kwa lengo la kubadili dola walizozinunua pale mpakani, nilipojaribu kuwa dadisi waliniambia wao hiyo ni biashara yao na wanapata faida ya kuridhisha kwani hununua dola mpakani na kuja kuuza huku Dar ambako rate yake iko juuu. Je kuna yeyote mwenye ufahamu zaidi mimi binafsi nimepanga kwenda huko Tunduma mwezi November 2018 kwa ajili ya kufahamu zaidi. Aksanteni
 
Yaani kumbe ulikutana nao wanaofanya hiyo biashara, hukuwaelewa nini na humu unataka uelewe nini?
 
Yaani kumbe ulikutana nao wanaofanya hiyo biashara, hukuwaelewa nini na humu unataka uelewe nini?
Mzee huwa ni kawaida kuhakiki taarifa za kuambiwa ndiyo kilichonifanya kuandika just in case kama kuna mtu anaufahamu zaidi, wao hiyo ilikuwa ni sehemu ya story za kwenye gari,
 
Mzee huwa ni kawaida kuhakiki taarifa za kuambiwa ndiyo kilichonifanya kuandika just in case kama kuna mtu anaufahamu zaidi, wao hiyo ilikuwa ni sehemu ya story za kwenye gari,
Hizo biashara mkuu, asikudanganye mtu mwingine mbali na walioko mipakani kwani zinaenda na uhalisia wa matukio ya biashara za mipakani hukohuko, nadhani umenielewa
 
Mimi sikua kwenye IT naomba mjuzi anifahamishe kuhusu hii biashara. Ukiwaza kwa kina utagundua jamaa anania nzuri ya kushare na wadau kuhusu hili jambo,,,,,Me nafikiri tusubiri ananayefahamu ili iwe ni elimu kwa wale tusiojua kuhusu hiyo mambo.
 
Well said na wqnaompiga mtoa hoja sio Kama awataki kujua sema wanamcrash jamaa ili nao waonekane watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikua kwenye IT naomba mjuzi anifahamishe kuhusu hii biashara. Ukiwaza kwa kina utagundua jamaa anania nzuri ya kushare na wadau kuhusu hili jambo,,,,,Me nafikiri tusubiri ananayefahamu ili iwe ni elimu kwa wale tusiojua kuhusu hiyo mambo.
Nadhani mnapoelezwa kwamba hizi biashara za mipakani zinaenda na uhalisia na matukio ya maeneo husika bad mmengangana na somo.
 
Kaka Upanga umeuliza swali la msingi mnoo? kwa jinsi ya foreign exchange inavyobadilika badilika nchini kwetu nadhani haikosi inaweza kuwa na biashara nzuri, nimevuka boda ya kyela mra kadhaa kuelekea Malawi biashara hii nako imeshika kasi sana, wake kwa waume wanazunguka pale mpakani kudaka wateja wanaovuka boda ingawa sikuwa naziona sana Dola sasa sijui availability yake. Kaka mimi ninaushari, wakati tunasubiri anaejua undani wake atupe picha kamili hapa, nakushauri siku moja uache kazi ufanye kazi ya kutembelea boda hizi kuona uhalisia wake, changamoto zake na nini faida yake. Usidharau ni biashara kubwa hio.
 
Nadhani mnapoelezwa kwamba hizi biashara za mipakani zinaenda na uhalisia na matukio ya maeneo husika bad mmengangana na somo.
Hao wanaojua uhalisia ndio haswa ndio tunawataka however kupata elimu ya hiyo biashara sio lazima mtu ukaifanye.... kujua ni kitu kimoja na kuifanya ni another thing.
 
Sawa ni vizuri akapata hints au maelezo ya kutosha kabla ya kwenda huko, ukiwa na taarifa za mapema ni vizuri zaidi
Sasa si alikuwa nao wahusika ambao ndio wangempa details zote, yeye akasubiri kuja kuandika uzi huku
 
Hao wanaojua uhalisia ndio haswa ndio tunawataka however kupata elimu ya hiyo biashara sio lazima mtu ukaifanye.... kujua ni kitu kimoja na kuifanya ni another thing.

umeongea point ya msingi sana
 
Ngoja nikupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…