vanlizer_fx
Member
- Apr 20, 2021
- 50
- 95
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai hiyo, peleka kwa motivation speaker
Nchi yetu watu wanaotupenda hatuwajui na watu wanaotuchukia hawatufahamu
Thread in a nutshell[emoji993]
Mwaka 2019 ni mwaka ambao niseme ulikua mwaka wa matatizo mengi sana,ni mwaka ambao nilikua naonekana sio kitu kabisa hapa duniani,ni mwaka ambao nilisalitiwa mpaka na rafiki zangu wakatembea na mke wangu kwa kumlaghai na pesa
Ulikua mwaka wa majito,mwaka wa kuteseka,hakuna rangi ambayo sikuiona na nilikua na miaka 21 tu ndugu zangu waliniona sifai kwa kua sina pesa,nimefilisika hata wale waliokua walinipenda kumbe walikua wananinafkia tu
Siku moja nikiwa namawazo maeneo ya kirumba nikiwa natembea tembea sina kitu mfukuno,mke wangu ameshaondoka kodi zimebaki wiki mbili iishe
Nikaketi chini kalibu na mlango wa kuingilia uwanja wa ccm kirumba nikashika kichwa nisijui nini cha kufanya maisha yamekua magumu akatokea Dada poa mmoja akiwa anahitaji huduma ili nimlipe pesa
Badae kidogo akaniuliza mbona unamawazo sana nika msimulia maisha yangu na changamoto mpaka hapo nlipofika nimekaa
Aisee sitamsahau huyo mdada akatoa noti ya sh 10000 akanipatia huku akiniambia maisha hayataki kulalamika lalamika ila ni kutafuta hela tu
Nikatoka hapo nikaenda kupata chakula sababu nlikua sijala kabisa chakula cha 1000 nikabakiza 9000 wakati naludi nyumbani nikawa nawaza hii 9000 ndio baba ndio mama niifanyie nini ili niweze kuishi
Ndipo likaja wazo la kulangua chenga za mkaa na kuziuza kwenye nyumba za watu
Nikaanza kuokota mifuko ile ya kununulia chakula na nikaanza kununua mkaa wa 5000 kisha naufunga kwenye mifuko nausambaza kwenye nyumba za watu
Aisee mwanzo ulikua mgumu sana lakini baada ya miezi 3 nilikua tayari nimefikisha mtaji wa 50000 nikiwa nimeshafahamika na wateja wengi
Nikawa navuka naenda kamanga nalangua gunia kwa 35000 nakuja nalifunga kwenye mifuko nauza aisee nimefanya hio kazi kwa mwaka mmoja mpaka sasa navyosema nina milikia Mpesa,nina hotel ambayo nimeajili wapishi na grocery ndogo ambapo pia na mtaji wangu pia umekuzwa na biashara ya forex
Kwa hio vijana wwnzangu tusizalau kazi huwezi kujua ni kazi gani itakayokutoa kwenye wimbi la umaskini mpaka uchumi wa katiView attachment 2113158
Ni mgahawa wa mama nt'ilie sio hotel kama Gold crestView attachment 2113239
We jamaa bana.
Kwa mwaka mmoja tu umeweza kujenga hoteli kwa biashara hiyo? Au unamaanisha mkahawa?
Forex umejifunza lini na kwa muda gani mpaka ukaimudu vizuri na kuifanya kuwa sehemu muhimu ya kukuingizia kipato?
Hata kama lengo lako ni kututia moyo sisi vijana tunaohangaika na ajira lakini njia uliyopita wewe ni ya ghafla mno. Labda kuna mambo umetuficha. Yote kwa yote hongera sana kwa kutajirika [emoji122][emoji122][emoji122]
Tena ina makorokocho kibao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Forex ni muziki mzito mpaka ukaimudu sawasawa lazima uliwe kwanza. Yeye huyu vu bin vu huyoo kabobea kwenye Forex from nowhere na imemtajirisha.Tena ina makorokocho kibao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wanasemaga za kuambiwa changanya na zako😃Tena ina makorokocho kibao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Forex ni muziki mzito mpaka ukaimudu sawasawa lazima uliwe kwanza. Yeye huyu vu bin vu huyoo kabobea kwenye Forex from nowhere na imemtajirisha.
Nadhani lengo lake ni kutangaza forex na anataka watu wamtafute ili awape maujanja ya strategies na trading methods anazotumia. Bila shaka atawapata [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio ulichojifunza kwa huyu mkulima wa mwendokasi alieibukia JamiiForums na kuchomokea Jangid Plaza!?Nchi yetu watu wanaotupenda hatuwajui na watu wanaotuchukia hawatufahamu
Thread in a nutshell[emoji993]
Mwaka 2019 ni mwaka ambao niseme ulikua mwaka wa matatizo mengi sana,ni mwaka ambao nilikua naonekana sio kitu kabisa hapa duniani,ni mwaka ambao nilisalitiwa mpaka na rafiki zangu wakatembea na mke wangu kwa kumlaghai na pesa
Ulikua mwaka wa majito,mwaka wa kuteseka,hakuna rangi ambayo sikuiona na nilikua na miaka 21 tu ndugu zangu waliniona sifai kwa kua sina pesa,nimefilisika hata wale waliokua walinipenda kumbe walikua wananinafkia tu
Siku moja nikiwa namawazo maeneo ya kirumba nikiwa natembea tembea sina kitu mfukuno,mke wangu ameshaondoka kodi zimebaki wiki mbili iishe
Nikaketi chini kalibu na mlango wa kuingilia uwanja wa ccm kirumba nikashika kichwa nisijui nini cha kufanya maisha yamekua magumu akatokea Dada poa mmoja akiwa anahitaji huduma ili nimlipe pesa
Badae kidogo akaniuliza mbona unamawazo sana nika msimulia maisha yangu na changamoto mpaka hapo nlipofika nimekaa
Aisee sitamsahau huyo mdada akatoa noti ya sh 10000 akanipatia huku akiniambia maisha hayataki kulalamika lalamika ila ni kutafuta hela tu
Nikatoka hapo nikaenda kupata chakula sababu nlikua sijala kabisa chakula cha 1000 nikabakiza 9000 wakati naludi nyumbani nikawa nawaza hii 9000 ndio baba ndio mama niifanyie nini ili niweze kuishi
Ndipo likaja wazo la kulangua chenga za mkaa na kuziuza kwenye nyumba za watu
Nikaanza kuokota mifuko ile ya kununulia chakula na nikaanza kununua mkaa wa 5000 kisha naufunga kwenye mifuko nausambaza kwenye nyumba za watu
Aisee mwanzo ulikua mgumu sana lakini baada ya miezi 3 nilikua tayari nimefikisha mtaji wa 50000 nikiwa nimeshafahamika na wateja wengi
Nikawa navuka naenda kamanga nalangua gunia kwa 35000 nakuja nalifunga kwenye mifuko nauza aisee nimefanya hio kazi kwa mwaka mmoja mpaka sasa navyosema nina milikia Mpesa,nina hotel ambayo nimeajili wapishi na grocery ndogo ambapo pia na mtaji wangu pia umekuzwa na biashara ya forex
Kwa hio vijana wwnzangu tusizalau kazi huwezi kujua ni kazi gani itakayokutoa kwenye wimbi la umaskini mpaka uchumi wa katiView attachment 2113158
😅😅😅😅😅 ya madhiwa au rangi?
Ya rangi af majani yamezidi imekuwa chungu😅😅😅😅😅 ya madhiwa au rangi?
😂😂😂😂😂😂 hio noma kweli maana sukar haifui dafuYa rangi af majani yamezidi imekuwa chungu