Biashara ya fedheha iliyonitoa kwenye umasikini



We jamaa bana.

Kwa mwaka mmoja tu umeweza kujenga hoteli kwa biashara hiyo? Au unamaanisha mkahawa?

Forex umejifunza lini na kwa muda gani mpaka ukaimudu vizuri na kuifanya kuwa sehemu muhimu ya kukuingizia kipato?

Hata kama lengo lako ni kututia moyo sisi vijana tunaohangaika na ajira lakini njia uliyopita wewe ni ya ghafla mno. Labda kuna mambo umetuficha. Yote kwa yote hongera sana kwa kutajirika [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ni mgahawa wa mama nt'ilie sio hotel kama Gold crest
 
Tena ina makorokocho kibao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Forex ni muziki mzito mpaka ukaimudu sawasawa lazima uliwe kwanza. Yeye huyu vu bin vu huyoo kabobea kwenye Forex from nowhere na imemtajirisha.

Nadhani lengo lake ni kutangaza forex na anataka watu wamtafute ili awape maujanja ya strategies na trading methods anazotumia. Bila shaka atawapata [emoji16][emoji16][emoji16]
 

Mwisho wa post yake ameweka mapicha ya Jeff (Ontario).
 
Ndio ulichojifunza kwa huyu mkulima wa mwendokasi alieibukia JamiiForums na kuchomokea Jangid Plaza!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…