Biashara ya Gardening na landscaping

Biashara ya Gardening na landscaping

hazel

Senior Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
159
Reaction score
169
Ndugu wajasiriamali, kiufupi nlikuwa naomba ushauri wenu juu ya hii idea yangu ambayo inaweza kuwa si ngeni, coz ukipita pembezon mwa barabara hasahasa jijini Dar utakutana na vtalu vya maua na miti. Je naweza fanikiwa na me nikiingia kwenye hyo project?!
Sina uzoefu na biashara yoyote ingawaje nna bachelor ya ujasriliamali and so fat nafanya degree ya pili ya kilimo cha biashara.......
 
Back
Top Bottom