Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
asanteni kwa majibu..je huo ushuru utakua unakatwaje?Kwa sababu mnalipa ushuru wa nje haina haja ya tin,..
Hapo utakuwa unalipa ushuru.
asanteni kwa majibu..je huo ushuru utakua unakatwaje?
Hilo genge liko wapi? Kama ni sokoni utakuwa unalipa ushuru wa usafi na gharama nyingine za kuendeleza soko. Ila kama ni huku kwetu kitaa... we jiuzie nyanya zako hakuna atakayekufuatilia. Labda kama matrafiki watachemka kukusanya kodi za mapato ya udereva barabarani, wanaweza kuanza kutoza huko baadayenauliza je biashara ya genge la kuuza vitu vya kawaida vya mtumizi ya nyumbani ya mlaji lkama nyanya,vitunguu etc..ina ulazima wa kuwa na TIN? na leseni ya biashara kama maduka?
je linakatwa kodi kama biashara nyingine ilhali halina record ya mauzo kwa mwaka japo haliingizi pato kubwa?
ni banda tu la kawaida uraiani!
[emoji23] [emoji23] asante asprin...Hilo genge liko wapi?? Kama ni sokoni utakuwa unalipa ushuru wa usafi na gharama nyingine za kuendeleza soko. Ila kama ni huku kwetu kitaa... we jiuzie nyanya zako hakuna atakayekufuatilia. Labda kama matrafiki watachemka kukusanya kodi za mapato ya udereva barabarani, wanaweza kuanza kutoza huko baadaye
Mi hayo mambo ya ushuru nimezoea kuyasikia kqenye masoko..kuna uahuru kama wa usafi..wa maendeleo y soko nk.Ushuru wa soko uujui,..wanakuja kwako wanakwambi lipia ushuru kwa siku sijui bei gan waulize weny magenge watakusaidia,
mi hayo mambo ya ushuru nimezoea kuyasikia kqenye masoko..kuna uahuru kama wa usafi..wa maendeleo y soko nk.
sasa hili la kitaa nadhani ntalipa ushuru wa usafi kama mtaa utakuwa na huduma za uzoaji taka..je kuna mwingine?
Ushuaia Mzuri kabisa.lakini je kama umekodisha frame an unataka Kuzbass matunda,mboga mboga,spices je kuna stakabadhi zaidi zinahitajika zaidi ya TIN yako?Hapana,