Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina nyumba yangu ya kuishi sehemu ilipo nimeona panafaa kufanyika biashara ya lodge/ Gesti hivyo nipo kwenye mpango wa kumtafuta msanifu aje kuiona na kunishauri jinsi ya kuibadilisha kuwa ya biashara tajwa ili kutimiza ndoto zangu za kuwaza kuifanya hii biashara kwa muda mrefu.
Naombeni ushauri kwa wale wajuzi/wazoefu wa hii biashara nipeni changamoto zake na jinsi ya kuisimamia ili iweze kunilipa ikiwa ni pamoja na mbinu za kupata wateja, madhari ya ndani n.k