Habari zenu wana Jf nilikuwa na ndoto siku moja niwe na fitness centre yangu kwasababu wanasema fanya kitu ukipendacho utafanikiwa zaidi.
Wana Jf kuna mtu yoyote anaifanya hii biashara au ana utaalamu nayo jinsi ya
1.kuiendesha,
2.gharama zake vifaa na wapi kwa kuvipata(sehemu ipo nikuifanyia renovations kidogo au hela ikiwepo nikuiplan upya.
3.changamoto zake
4faida zake na mengineyo
Soko naliona lipo kubwa maana sikuihizi wadada wenge hawataki unene na vijana six pack wanazitaka