Biashara ya Gypsum

Biashara ya Gypsum

bigjeff

Senior Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
111
Reaction score
22
Habari zenu wakubwa,mi nina wazo lakufanya biashara ya Gypsum,sasa kwa yoyote alie na uzowefu wa hii biashara aliowahi kufanya au ambao wanafanya,naomba mawazo kwenye biashara hii au muongozo katika biashara hii,kwa mfano soko likoje?,upatikanaji wake najua sehemu moja Makanya,Tender upatikanaji wake,hata kama unayo business plan tunaweza kuongea..la muhimu zaidi Capital inahitajika sh ngapi?,kwamimi naweza tenga milioni kumi ya kuanzia je inatosha,asanteni...mapambano yanendelea Tutafika.
 
Back
Top Bottom