biashara ya haraka

sverige

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
417
Reaction score
176
Heshima kwenu! nahitaji cacao iliyokuwa tayari kama tani moja yoyote alie kuwa nayo ani pm tuweze kufanya biashara malipo ni mazuri
 
Heshima kwenu! nahitaji cacao iliyokuwa tayari kama tani moja yoyote alie kuwa nayo ani pm tuweze kufanya biashara malipo ni mazuri

kwani wewe unapatikana wapi na unanunua sh.ngapi kwa kilo moja,na tani itakuwa kiasi
 
Post ipo kienyeji hakuna contacts, hujatoa offer ikaeleweka. . .biashara siyo rahisi hivyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…