Thamani ipo, kitu chochote kinachofanyika hakikosi thamani, tena ukikifanya kwa kukiongezea thamani kitahitajika sana.-Kwa nia ya kuongeza ufahamu zaidi; kwa walio na hardaware does it real worth
Mashine ndogo za benchi kama router mashine, engle grenda, drill mashine, compressor, jig saw , secular saw zinawesa kutosha kuanzia.Naomba ushauri mashine gani lazima niwe nazo?
Muhimu kutafuta soko kwa kutangaza na kuwa na milango ya kuonyesha.Mambo muhimu ya kuzingatia kadri navyojipanga
Pendaelli Nakushukuru sana sana kwa madini haya. Hapo kwenye mashine kubwa unamaanisha sio lazima niwe nazo naweza chukua mbao mfano zimerandwa tayari, na workshop nikawa na randa ndogo ya mkono?Mashine ndogo za benchi kama router mashine, engle grenda, drill mashine, compressor, jig saw , secular saw zinawesa kutosha kuanzia.
Mashine nyingine kubwa kama za kuranda, kuchana, spindle unaweza kupata kule utakapo nunua mbaona kwa mongozo wa fundi wakati wa maandalizi.
Ndio sio lazima kuwa nazo, ingawa zenyewe ukiwa nazo ni biashara nyingine yenye faida kama sehemu yako ina mzunguko mzuri.Pendaelli Nakushukuru sana sana kwa madini haya. Hapo kwenye mashine kubwa unamaanisha sio lazima niwe nazo naweza chukua mbao mfano zimerandwa tayari, na workshop nikawa na randa ndogo ya mkono?
Barikiwa..asante sanaNdio sio lazima kuwa nazo, ingawa zenyewe ukiwa nazo ni biashara nyingine yenye faida kama sehemu yako ina mzunguko mzuri.
Lakini ukiwa na mashine ndogo hizi ambaazo wastani wa milion unaweza kuzipata zote zinazo tosha kuanza kazi.
Huko utakapo nunua mbao nadhani ndiko utakapo randa kunyoosha na ikija karakana kwako ni maandalizi madogo na finishing , ndivyo tunavyo fanya sisi kwa muda mrefu na hatujawahi kukutana na changamoto hata kazi ikiwa kubwa kiasi gani.