Biashara ya hereni na mikufu ya english gold

Biashara ya hereni na mikufu ya english gold

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wadau,

Mwenye uelewa wa hii biashara ya hereni na mikufu ya gold bandia (english gold) naomba anipe uzoefu kidogo hasa kwenye mtaji wa duka la wastani.

Jinsi ya kuhifadhi hizi bidhaa,location,upatikanaji wake kwa bei ya jumla na mambo kadha wa kadha. ukipita Kariakoo utaona watu hasa wadada wanavyo miminika kwenye haya maduka.

Bila shaka itakua inalipa sana.
 
Am interested too. ngoja waje but kama wamekufata private kindly tupeane taarifa mkuu.
 
Back
Top Bottom