Biashara ya Hiace bado inalipa Songea

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Mji wa Songea pamoja na kuwa mkubwa bado hiace ndio dala dala zinazopiga shanting za hapa na pale. Kwa kuwa kiwango cha 70,60,50 hadi 40 kinapelekwa kwa mwenye gari kwa siku narudia tena matajiri acheni kufungia ndani au kuuza kwa lazma hizi gari kwa kujua hazina thamani kibiashara.
 
Chapa kaz sana mwana, asante kuwastua wajuba na kuwasanua mataita...
 
Toa muongozo vizuri 70 mpaka 40 ni kwa hiace aina gani mpya ama?
 
Ni pm namba yako tafadhali
Kuna njia unalaza elf 70 gar lazma liwe na power ya kukimbia maana kuruka to and fro na kuna njia 40 kwa route 2 yani ikienda na kurud mara 2 kwa ck unapewa 40 na kuna wengne wanafanya 60 au 50 kulingana na gari zunguka uwezavyo.
 
Bajaji zipo nyingi tu ndugu ni wewe tu.
Kama bajaji zipo ni swala la muda au hizo route unazosema ni km ngapi??? toka city center gari inaenda.....

kama unaweza kutoa taarifa vizuri itasaidia watu wanaolaza 20k au saa ingine wanatoka kavu kushawishika kuja songea....eleza vizuri mkuu. Mafuta nayo ni shida.

Eleza umbali na nauli za huko zikoje pia wingi wa abiria.
 
Km ni 26 to 35 nakadiria na nauli ni elf 1. Bajaji kuna mahala zinaishia haziendi mbal kulingana na sheria walizoweka(by law). Kwa wanaoijua songea vizuri bajaji zinacheza toka stand ya mjini kwenda stand ya ruhuwiko(mbinga road) au kwenda stand ya seedfarm(namtumbo road) au msamala(njombe road). Nying znaenda ruhuwiko kutokana na ubize wa stand ya mbinga(ruhuwiko stand) bajaj naul ni 500
 
Biashara zimevamiwa mno me nimefungia ndani labda mtu akodishe alipe kwa mwezi kabla hajaanza kutumia na analipa security fes kabisa kudanganywa na majinga kama haya hamjatupata wadau huyu amekuja kutega watu...
 
Biashara zimevamiwa mno me nimefungia ndani labda mtu akodishe alipe kwa mwezi kabla hajaanza kutumia na analipa security fes kabisa kudanganywa na majinga kama haya hamjatupata wadau huyu amekuja kutega watu...
Sasa nikutege kwa faida ya nani au mimi nimeomba hiace kwako? Mm nawapa njia ya kutumia hizo gari.
Huku kuna mtu anaitwa Paswero hiace zake anatumia jina la CNN anajumla ya hiace 36 na mwezi ujao unaongeza 10 tayari zinafanyiwa tu finishing Dar.
Kuna mwingne AGAPE Analeta 5, hivi zingekuwa hazina faida wangeleta kwa wingi huo?
Kama wewe ni agape unayeota kushika njia ya hospital ya peramiho peke yako sawa disheart others ili ufanikiwe.
Na kama wew ni cnn unaeota kuishka mlilayoyo na mtwangimbole peke yako swa wakatixhe wenzako tamaa.
Songea haiko mbali tafuta watu ulizia vizuri. Hata ukiweka gari stand ya mjin kwenda stand ya shule ya tanga ambayo naul mia 7 unapata hela.
Katika hli mim cpat faida wala hasara ukifanya au kuacha
 
Mkuu
Achana nae
Watu kama hawa hawakosekani

Songea naijui in and out
Upoo sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…