Wakuu salama ?
Nimekua nikisikia kuhusu hisa, watu wananunua na baadhi ya makampuni na mashirika yanakuwa yanauza hisa zao.
Hizi hisa bishara yake inafanywa kwa mtindo upi, yani kampuni inapataje faida na aliyenunua anapataje faida?
Na unaweza kuwekeza mfano kiasi gani ili upate faida huko kwenye hisa mana sionagi matangazo ya kuuza hisa kwenye vyombo vya habari
Mchango wenu ni muhimu sana wadau
Ahsanteni. :ranger:
Naona wote wamepiga makelele tu
Sasa kwa ufupi
----------------------
1. Hisa
~ Is a unit of coy capital and ownership of coy husika (kwa maelezo), kwa kupeleka pesa zako pale DSE na kupewa certificate ya coy ambayo imekuwa listed pale ambayo sasa zipo kama 18 hivi
2. Biashara sasa.
~ Coy listed au non listed zinazo tafuta mtaji au kuongeza mtaji katika biashara zao wanauza hisa.
~Wewe unapeleka pesa kwa DSE to coy husika kutokana na kiwango chao cha hisa husika
mfano
---------
Hisa 1 @ sh 600 maana yake ili uwe na hisa 10 kwa coy husika unapeleka sh 6000 zote au on appl & allotment na some charges kidogo tu, then unasubiri kwa miezi 1,3,6,9,12 mmoja wapo mnakubariana unapata gain/loss kwa riba utakayopewa na coy husika (KWAHIYO KUNA FAIDA AU LOSS) kwani coy husika ina peleka pesa ile kufanyia kazi na profit ikipatikana mnagawana kwa interst rate mliokubariana.
~ Kuna hisa za aina mbili ordinary na prefference.
~Biashara nzuri sana kama unamtaji mkubwa, kwani bei inaweza panda ukauza kwa bei juu au shuka ukapata hasara
Nadhani kwa ufipi tu huu utakuwa umeelewa mkuu.
More Go To DSE,
PSPF TOWER near PPF TOWER.