Biashara ya Hisa inaendeshwaje ?


Nimekupata vyema mkuu
 
Unanunuwa na kuuza kama biashara nyingine yeyote ile.

Kwa kwetu hapa, soko letu la hisa bado ni changa sana na mpaka leo hii huwezi ukaifanya kila kukicha, inabidi uwe na mtaji wa ziada ambao utawekeza kwa kununuwa hizo hisa na kuziuza unapoona zimepanda bei. Aghalabu sana kwa sasa kwa hapa kwetu.

Kwa kwetu unaweza kutumia soko la hisa kama umeweka akiba, badala ya kuweka benki.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na: Tanzania Securities Limited
 

Sawa mama, tuta wasiliana
 
biashara ya hisa sio siri ni kama umevimbiwaaa hela
return yake ni ndogo au ni ya kawaidaa saana tofaut na ungeenda kufanya michakato mingine

Ina return ndogo kama unapesa ndogo kweli kama unanunua hisa crdb za 150,000/- hapo kwenye dividend ukipata hata buku 5,000/- shukuru, ila uzuri ukiona haupat faida wakiziuza kwa premium we unajitaftia zako mteja pale DSE unauza na kujipatia kafaida kako.
 
Nliwekeza some cash precision air, nimejuta!

Ukiondoa TBL sidhani kuna kampuni nyingine nitaiamini huku bora walevi hawapungui biadhara inaenda ila huko kwingine mmh crdb nako hisa badala ya kupanda ndo kwanza nasikia bei inashuka tuu, ukitaka uza faida hakuna.
 
sisi wa mbele we buy and sell stock any time
 
Yes u can make a lot of profit
 
Kwa Tz hailipi sana , mimi nilinunua swiss port miaka mitano iliyopita nilinunua kwa shilingi 600 kwa hisa moja , sasa hivi ni shilingi 2700 pia huwa napata dividends mara mbili kwa mwaka .Pia share certifitate unaweza itumia kama dhamana ya mkopo kwenye mabenki.
 
Margin account pia nzuri kwenye stocks if you know what you doing most margin account interest rate its low
 

Bibie hyo buku gwala inakua kwa muda gani?
 

Kwahyo unaweza kununua hisa af ukaziacha kwa miaka unayotaka ww kumbe
 
Go online u can get more information,
 
BROKERAGE ACCOUNT before opening an investment account, it’s important to ask yourself what sort of investments you want to own. If you want to buy stocks and exchange-traded funds, you’ll need a brokerage account. Online brokerages are a good place for many new investors to begin. Most offer low costs, lots of educational tools and some degree of hand-holding. Steve Juetten, a financial planner in Bellevue, Wash., recommends Fidelity or-Charles Schwab-. Other solid choices include-TD Ameritrade-,E*Trade-and Scottrade, a
 
Kwahyo unaweza kununua hisa af ukaziacha kwa miaka unayotaka ww kumbe

Unanunua tu unaziacha mpaka utakapotaka kuuza . Kama una hela imekaa tu iweke huko kwenye hisa unaweza waomba wakushauri, Kabla ya kununua nilikuwa sijui ninunue ya kampuni ipi wakanishauri kutokana na performance ya kampuni na amount niliyokuwa nayo .
 
TWTR hii its good buyer sahivi,went down fro $70 to $32.mda nzuri wa kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…