Hiyo hela haitoshi kujenga hostelHabari za muda huu wakubwa zangu,
Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.
Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara
Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!
Mil 40 unajenga hostel?Habari za muda huu wakubwa zangu,
Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ajili ya wanafunzi wa chuo, na ninayo target yangu tayari. Yani watu wangu wa karibu huwa wananiita day dreamer kutokana na kuwaza mambo makubwa kuliko umri wangu.
Sasa mimi ninaomba ushauri wenu; ni wapi naweza pata mkopo wa kama 40ml? Maana nimezunguka benkiya NMB na CRDB wakasema ni lazima niwe mfanya biashara
Naombeni msaada wenu, kama nitapata msaada. Na baba yangu amekubali kuniwekea kiwanja ambacho kina nyumba tayari kama security. Any help pliz!!
Changamoto zake pia ni pale ambapo unainvest pesa nyingi halafu chuo wanakuja kujenga hostel zao hivyo unapoteza wateja na huna plan BHabari wanajamii naomba kujuzwa kuhusu uendeshaji wa hostel kumiliki hostel za nje ya chuo kwaajili ya kupangisha wanachuo na changamoto zake kwa wenye idea naombeni msaada asanteni
Na nyingine ni pale wanapokosa mkopo na kuondoka bila kulipia.Changamoto zake pia ni pale ambapo unainvest pesa nyingi halafu chuo wanakuja kujenga hostel zao hivyo unapoteza wateja na huna plan B
asante mkuuChangamoto zake ni kama nyumba ya kupanga, hakuna taratibu za kusumbua ni biashara nzuri ukipata wanafunzi/wapangaji wa kujaza hostel yako.
Usafi na ubora ni muhimu kuzingatia hasa Huduma za maji na choo. Gharama isiwe kubwa sana, na umeme usiwe wa kusumbua.
Mwisho kabisa ni suala nzima la usalama kwa wanafunzi na vifaa vyao, yote hayo ni muhimu kuzingatia
Jitahd kila room kuiwekea ruku yake ili upunguze gharama za uendeshaji nafkr itasaidia ,,