Biashara ya Hoteli(Malazi)

Biashara ya Hoteli(Malazi)

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Wadau habari za mchana.?

Mimi ni mtaalamu wa masuala ya Sales & Marketing kwenye mahoteli kwa zaidi ya miaka 8 sasa.Ninahitaji kupata hoteli nyingi toka maeneo mbalimbali nchini ili niweze kuziandikisha online na kuweza kupata direct bookings(guests) ninacho hitaji kwa sasa ni mawasiliano ya mmiliki/managers toka kwenye hoteli hizo.

Malipo yangu yatakuwa kwenye terms of commissions,baada ya mgeni kucheck in ndiyo nami napata commission yangu.Pia hakuna gharama nyingine kwa mmiliki.Kwa kifupi nataka kufanya online marketing ya Hotel/Lodge yako.

Kwa aliye tayari tuwasiliane kwa malelezo ya kina kupitia 0713260027 | 0752489529.

Changamkia fursa.
 
Dah nimefurahi sana kwa Bandiko lako. liko wazi sana na halina hata chembe ya mashaka na utapeli,

vipi kuhusu apartments ambazo ziko full na kila kitu kinachohitajika? namaanisha vitanda, mashuka, jiko ect?
 
Dah nimefurahi sana kwa Bandiko lako. liko wazi sana na halina hata chembe ya mashaka na utapeli,

vipi kuhusu apartments ambazo ziko full na kila kitu kinachohitajika? namaanisha vitanda, mashuka, jiko ect?
Asante kwa kuelewa. Kuna sites zinazodili na apartments,lakini zinahitaji anayepost apartment yake alipie kabla ya kupata wageni(unawatumie pesa zao kupitia credit card,PayPal nk) ni kama vile unaweka tangazo lako google au facebook nk
 
Back
Top Bottom