Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Asante kwa kuelewa. Kuna sites zinazodili na apartments,lakini zinahitaji anayepost apartment yake alipie kabla ya kupata wageni(unawatumie pesa zao kupitia credit card,PayPal nk) ni kama vile unaweka tangazo lako google au facebook nkDah nimefurahi sana kwa Bandiko lako. liko wazi sana na halina hata chembe ya mashaka na utapeli,
vipi kuhusu apartments ambazo ziko full na kila kitu kinachohitajika? namaanisha vitanda, mashuka, jiko ect?