Habarini wana jamvi wote , Mimi nafikiria kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza mabonge ya barafu. Naomba kufahamishwa wapi nitapata ice cubing machine na kwa bei gani, au pia kama inawezekana kuzitengeneza kwa kutumia deepfrezer. Mimi ninaishi Tanga mjini. Nitashukuru kwa michango yenu.