Biashara ya juice, ni zipi changamoyo zake, usajili, masoko n.k

Enno Temba

Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
29
Reaction score
6
Poleni na shughuli wakuu, ninaona fursa kabisa iko wazi hapa kwenye biashara ya juice hasa kwa sisi ambao tupo mkoani. Kwa sisi ambao bado hatujaingia rasmi kwenye hiyo biashara ni vyema tungepata ushauri kutoka kwa watu wenye uelewa zaidi ama uzoefu juu ya hii biashara. Kwenye changamoto zake, usajili na vitu vingine kama hivyo.
Asanteni
 
Me mwenye natamani kuifanya huku mkoani kwetu tatizo pesa za kuanzishia biashara naona kama ni kubwa.
Vifaa
1. Blenda
2.friji/jokofu
3. Freeza
na mambo mengine tena bado garama za chumba cha biashara duuuu! Moyo umevunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…