Mkuu Asante sana. Hiyo ndio plan yangu.. kusema kweli tuna kahawa nzuri sana halafu wanaiyoifaidi ni watu wa nje huku na matajiri wanaokunywa coffee shops.. huku mtaani watu wanauziwa na kunyweshwa vitu vya ajabu tu.Kuna wakati nimewahi kufikiria kufanya hii kitu lakini bado nitafanya Tu, it's just a matter of time.
Mkuu kama unaweza unaweza kufungua pia Coffee Pub, kama wanavyokuwa na Alcohol Pub basi wewe unakuwa na Pub yako ya Coffee, wateja wapo wengi Tu sema ni vile hawajapata maeneo yao ya kukaa na kutulia kupata kahawa
Vizuri mkuuSasa hivi nimekua nikiongeza wateja kila mara na wateja wa kujirudia rudia wengi. Bado ofisi yangu nafanyia nyumbani na mtandaoni.
Mimi nashangaa Sana vitu vizuri kama hivi muamko unakuwa mdogo, sehemu nyingi wanazosema wanauza kahawa nimejaribu Sana zile siyo kahawa halisi, Kwa mtu anayefahamu hata Kwa harufu tu anagundua kuwa zile siyo kahawa Bali ni kitu kingine tofauti, lakini bado tunayo nafasi ya kubadili mtizamo .Mkuu Asante sana. Hiyo ndio plan yangu.. kusema kweli tuna kahawa nzuri sana halafu wanaiyoifaidi ni watu wa nje huku na matajiri wanaokunywa coffee shops.. huku mtaani watu wanauziwa na kunyweshwa vitu vya ajabu tu.
Nilianza na kilo moja ya mchele sasa leo naagiza tani 10.
Hizi stori bwana mda mwengine nazipita
Hua wanachanganya na haya madude kutokea mtwara.. hayana ladha wala harufu ya kahawa ila yana texture inayofanana.. inakaangwa hii pamoja na kahawa ndio mtaani wanauziwa. Inshort mambo haya yapo Dar tu ila Arusha hakuna.. Kahawa sasa hivi ni bei huwezi kuuza kikombe mia labda uanze miambili kea kijikombe kidogo.Mimi nashangaa Sana vitu vizuri kama hivi muamko unakuwa mdogo, sehemu nyingi wanazosema wanauza kahawa nimejaribu Sana zile siyo kahawa halisi, Kwa mtu anayefahamu hata Kwa harufu tu anagundua kuwa zile siyo kahawa Bali ni kitu kingine tofauti, lakini bado tunayo nafasi ya kubadili mtizamo .
Wageni/wazungu wanapotembelea maeneo ya kiutalii hii kahawa wanauziwa bei ghali Sana , na hiyo inaonesha thamani kubwa ya kahawa yetu.
Coffee shops inawezekana kabisa, watu wakae wafanye mazungumzo kwenye coffee shops kama wale wanaokaa Bar the same
Imekaa vizuriNatokea Arusha,Kahawa ni zao kubwa la biashara. Sababu nimekulia Dar,mwaka juzi kwa kuchoshwa na kunywa kahawa mbovu na chini ya kiwango nikaamua niwe naagiza green beans kutoka Arusha,nakaanga mwenyewe na kutumia pamoja na kugawa kwa familia.. kipindi hiko nafanya kazi sehemu kwahiyo sikuchukulia serious sana kuifanya iwe biashara. Mwaka jana mapemaa nikaacha kazi yangu ghafla kwa matatizo huku nikiwa sina backup plan(accountant). Nikasota sana mtaani lakini bado wanafamilia na marafiki wakiwa wanataka kahawa wananitafuta mimi. Nikaamua niifanye biashara rasmi kabisa ili nisife njaa..
Sasa hivi nimekua nikiongeza wateja kila mara na wateja wa kujirudia rudia wengi. Bado ofisi yangu nafanyia nyumbani na mtandaoni. Wateja wanaongezeka kila siku na nimepata mwangaza mpya kwenye maisha yangu. Kahawa yangu ni fresh na kila siku na roast batch mpya from Dark roast to medium.
Hii ni website yangu www.brewa.co.tz
hua wanachanganya na mambegu flani hvi au makapi ya kahawa.Mimi nashangaa Sana vitu vizuri kama hivi muamko unakuwa mdogo, sehemu nyingi wanazosema wanauza kahawa nimejaribu Sana zile siyo kahawa halisi, Kwa mtu anayefahamu hata Kwa harufu tu anagundua kuwa zile siyo kahawa Bali ni kitu kingine tofauti, lakini bado tunayo nafasi ya kubadili mtizamo .
Wageni/wazungu wanapotembelea maeneo ya kiutalii hii kahawa wanauziwa bei ghali Sana , na hiyo inaonesha thamani kubwa ya kahawa yetu.
Coffee shops inawezekana kabisa, watu wakae wafanye mazungumzo kwenye coffee shops kama wale wanaokaa Bar the same
Endelea kuzipita lakini tambua kuwa ndani yake kuna ukweliNilianza na kilo moja ya mchele sasa leo naagiza tani 10.
Hizi stori bwana mda mwengine nazipita
Sina cha kukuambia ila nakupongeza na kukupa moyo kuwa unafanya jambo zuri sana. Zingatia sana quality na packaging iwe nzuri (kitu ambacho nadhani unafanya vizuri). Jina la bidhaa pia naunga mkono.Mkuu Asante sana. Hiyo ndio plan yangu.. kusema kweli tuna kahawa nzuri sana halafu wanaiyoifaidi ni watu wa nje huku na matajiri wanaokunywa coffee shops.. huku mtaani watu wanauziwa na kunyweshwa vitu vya ajabu tu.
Kila la kheri mkuuNatokea Arusha,Kahawa ni zao kubwa la biashara. Sababu nimekulia Dar,mwaka juzi kwa kuchoshwa na kunywa kahawa mbovu na chini ya kiwango nikaamua niwe naagiza green beans kutoka Arusha,nakaanga mwenyewe na kutumia pamoja na kugawa kwa familia.. kipindi hiko nafanya kazi sehemu kwahiyo sikuchukulia serious sana kuifanya iwe biashara. Mwaka jana mapemaa nikaacha kazi yangu ghafla kwa matatizo huku nikiwa sina backup plan(accountant). Nikasota sana mtaani lakini bado wanafamilia na marafiki wakiwa wanataka kahawa wananitafuta mimi. Nikaamua niifanye biashara rasmi kabisa ili nisife njaa..
Sasa hivi nimekua nikiongeza wateja kila mara na wateja wa kujirudia rudia wengi. Bado ofisi yangu nafanyia nyumbani na mtandaoni. Wateja wanaongezeka kila siku na nimepata mwangaza mpya kwenye maisha yangu. Kahawa yangu ni fresh na kila siku na roast batch mpya from Dark roast to medium.
Hii ni website yangu www.brewa.co.tz