Biashara ya kamba kochi(lobster)

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
3,482
Reaction score
4,673
Wakuu kuna mtu ameniambia kuwa kuna biashara anafanya ya kuchukua kamba kochi toka Msumbiji na kuwaleta Dsm,soko lake kubwa lipo kwa wachina .
Tupeana info kwa mwenye kujua zaidi hii biashara ipoje na changamoto zake, na bei ya soko ipoje!? Na je sio nyara za serikali kweli
 
Ukipata hoteli inayosogeza sana Sea food unatoboa mapema kabisa.

Lobster, calamari, octopus na King fish wana bei nzur sana huko. Hawa kuwauzia wabongo kwa kilo shughuli pevu hasa hao lobster. Yeye anauzia wachina wa wapi
 
Anawatoa msumbiji,anawauzia wachina wapo Dar
 
Uzuri wa samaki anapoliwa na kugeuzwa kisha analiwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…