Biashara ya kampuni ya usafi (cleanig company)

Biashara ya kampuni ya usafi (cleanig company)

ENGI

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
24
Reaction score
12
Habari Wakuu

Nataka kufungua kampuni ya usafi, ambayo itakuwa inafanya usafi katika maofisi, manispaa, mashuleni, majengo ya biashara nk. Naomba mwenye details za kutosha za jinsi ya kusajiri kampuni na hatimaye kufungua kampuni ya usafi anisaidie.

Najua hatua ya kwanza natakiwa niende Brela, lakini baada kumalizana na Brela sijui zinafuata hatua zipi ili kampuni iweze kufanya kazi kihalali hapa inchini.

Thanks.
 
Back
Top Bottom