Biashara ya Kaolin

Biashara ya Kaolin

Mtu Poa 2013

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
105
Reaction score
65
Habari zenu wanajamvi.

Nilikuwa naperuzi mtandaoni nikaona kuwa kumbe kuna madiki ya kaolin yanachimbwa kule kisarawe. Sasa nikawa unterested na biashara hiyo ila sielewi inafanyikaje. Ningeomba aliyeshawahi kujishughulisha nayo atuelimishe inakuaje, sanasana kuhusu bei inavyonunuliwa kule porini na bei ya huku dar. Ntashukuru sana kwa majibu yenu.
 
Kisarawe sio mbali kwa nini usiende mwenyewe?

Aisee hilo ni wazo zuri sana, sema kwa sasa nimebanwa sana na shughuli za ujenzi wa taifa na pia sababu nyingine inayonifanya nisiweze kwenda ni kwamba kwa sasa naishi morogoro.
 
Waone Mbezi tiles ndio wenye machimbo
 
Back
Top Bottom