Habari zenu wanajamvi.
Nilikuwa naperuzi mtandaoni nikaona kuwa kumbe kuna madiki ya kaolin yanachimbwa kule kisarawe. Sasa nikawa unterested na biashara hiyo ila sielewi inafanyikaje. Ningeomba aliyeshawahi kujishughulisha nayo atuelimishe inakuaje, sanasana kuhusu bei inavyonunuliwa kule porini na bei ya huku dar. Ntashukuru sana kwa majibu yenu.