Nadhani ungefuatilia kwenye kiwanda wanachotengeneza karatasiKaratasi multipurpose nyeupe A4 hz tunazotumia kwenye matumizi mbali mbali kila siku kama kwa photocopy n printing
Typing errorNadhani ungefuatilia kwenye kiwanda wanachotengeneza karatasi
Kule ngogoro iringa wilaya ya mufindi
Kinatwa mufindi paper mills ltd
Tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi