Biashara ya kashata za karanga

Biashara ya kashata za karanga

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
1,458
Reaction score
1,432
Habar wakuu wa JF....
1) kwanza napenda kujua kwa wale wazoefu wa hii biashara ya kashata za karanga faida na hasira zake
2) pill naomba nipate darasa fupi La namna ya kuzitengeneza kwani lengo langu kubwa nikufanya hii biashara.
3) tatu najua kuna wale watu wakuvunja watu moyo tafadhali nawaomba msome then mpite kushoto kwani huh Uzi sio kwa faida yangu Bali ni kwa MTU yeyote atakayeupitia na kuupenda
 
Back
Top Bottom