pius mabula
Senior Member
- Jul 2, 2012
- 196
- 26
Habari wadau, siku zote naamini watu wengi wamefeli kweny biashara sababu walifanya biashara kisa tu kuna baadhi ya watu ziliwatoa, naamini kila mtu anakua na kitu moyoni mwake na kama ukikifata kilicho moyoni kesho kitakua.
Mimi ni Msanii wa sanaa nyingi za mikono, Painting, Drawing, Sculpture na Sanaa nyingine nyingine nyingi, soko la kazi za sanaa hapa Tanzania sio kubwa na wanaopata faida ni wenye Art Gallery, nataka kuanza biashara ya Sanaa nje ya nchi, nitoe hapa kama Vinyago, Picha, Batiks na Sanaa nyingine nipeleke Ulaya au America, nina mtaji tayari wa kuanzia, ni nani anaweza kunipa Uzoefu wa aina ya biashara ambayo naifikilia?