Biashara ya kilimo cha tumbaku inalipa?

Biashara ya kilimo cha tumbaku inalipa?

Dadakidoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2024
Posts
399
Reaction score
1,409
Wakuu habari za weekend,

Samahani kwa nitakae mkwaza namna yoyote ile. Wakubwa kama mnavyoja dunia ya sasa yataka kupambana kweli kweli. Sasa mwenzenu nimechoka na haka kamshahara ka laki na nusu huku nikiwa na mtoto, wazazi wanaotegema chochote kutoka kwangu. Sasa nataka kujikita kwenye kilimo anaejua naomba anisaidie faida na hasara za kulima tumbaku kwa mkoa wa morogoro. Na je kilimo hiki kinalipa?

Asanteni.
Muwe na weekend njema.
 
Biashara ya kilimo cha tumbaku: Faida na Hasara

Swali la kama biashara ya kilimo cha tumbaku inalipa ni ngumu kujibu kwa uhakika kwani inategemea mambo mengi sana, ikiwemo:

Angalia HAPA
Mahali: Mahali unapofanya kilimo cha tumbaku kunaweza kuathiri sana faida yako.
Bei za masoko: Bei za tumbaku zinaweza kubadilika sana kutokana na mambo mengi, ikiwemo mahitaji ya soko, sera za serikali, na ushindani kutoka kwa wazalishaji wengine.
Gharama za uzalishaji: Gharama za uzalishaji zinaweza kuwa kubwa, ikiwemo gharama za mbegu, mbolea, dawa za kuulia wadudu, na ajira.
Teknolojia: Kutumia teknolojia ya kisasa kunaweza kuboresha uzalishaji na kupunguza gharama.
Sera za Serikali: Sera za serikali zinaweza kuathiri sana biashara ya tumbaku, kwa mfano, kupitia ushuru, vikwazo, na mipango ya kuinua kilimo cha mazao mengine.
Mabadiliko ya Tabianchi: Mabadiliko ya tabianchi yanaweza kusababisha magonjwa ya mimea na kupunguza mavuno.
Mfano video hii hapa

Faida za Kilimo cha Tumbaku

Mapato makubwa: Ikiwa bei za tumbaku ni nzuri na uzalishaji wako ni mkubwa, unaweza kupata faida kubwa.
Kutoa ajira: Kilimo cha tumbaku kinaweza kutoa ajira kwa watu wengi, hasa wakati wa mavuno.
Kuimarisha uchumi: Kilimo cha tumbaku kinaweza kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa eneo fulani.

Hasara za Kilimo cha Tumbaku

Madhara kwa afya: Tumbaku ni chanzo kikubwa cha magonjwa, ikiwa ni pamoja na saratani. Kilimo cha tumbaku kinaweza kuwa hatari kwa afya ya wakulima na watu wanaowazunguka.
Uharibifu wa mazingira: Kilimo cha tumbaku kinaweza kuharibu mazingira, kwa mfano, kupitia matumizi ya dawa za kuulia wadudu na mbolea.
Utegemezi wa soko la kimataifa: Bei za tumbaku zinaathiriwa sana na soko la kimataifa, ambalo linaweza kuwa tete.
Mabadiliko ya mitazamo: Kuna mabadiliko ya mitazamo ya watu kuhusu tumbaku, na hii inaweza kusababisha kupungua kwa mahitaji ya tumbaku katika siku zijazo.
Bonyez HAPA kujua zaidi
 
ASANTE SANA MUNGU AKUTUNZE
 
Kilimo chochote huwa hakilipi. Kinacholipa ni udalali wa hiko kilimo. Mfano hiyo kwenye tumbaku, ww unakua mtu wa Kati Kati ya mkulima na mnunuzi
 
Majibu ya kisiasa haya
 
Wakuu habari za weekend,

Samahani kwa nitakae mkwaza namna yoyote ile. Wakubwa kama mnavyoja dunia ya sasa yataka kupambana kweli kweli. Sasa mwenzenu nimechoka na haka kamshahara ka laki na nusu huku nikiwa na mtoto, wazazi wanaotegema chochote kutoka kwangu. Sasa nataka kujikita kwenye kilimo anaejua naomba anisaidie faida na hasara za kulima tumbaku kwa mkoa wa morogoro. Na je kilimo hiki kinalipa?

Asanteni.
Muwe na weekend njema.
Hivi Morogoro hulimwa tumbaku pia?
 
Ukitaka kulima tumbaku kwa faida, nenda Tabora bosa.
Lakini ukitaka kufanikiwa hapo ilipo, angalia changamoto zinazo wakabili wakazi wa eneo lako na kisha tafuta solution yao na watakulipa.
Note: usipende kukimbia changamoto kwa kuona ama kusimuliwa mafanikio ya wengine.
 
Ukitaka kuzeeka na kufa kabla ya umri wako.
Lima Tumbaku.
 
Back
Top Bottom