Biashara ya kimataifa tanzania

Biashara ya kimataifa tanzania

creedfx

Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
89
Reaction score
41
Habari ndugu naomba msaada kweny huu uzi maana nadhani kwa elimu ya Tanzania wengi hili tatizo linatukumba kwani watu tunasoma advance alafu hatuna cha kukaa nacho akilini kua tukifaulu University tunasoma kozi gani ila wakubwa mimi binafsi napenda masuala flani kwenye uhalisia wa maisha ila sijui chuo ni kozi gani hasa itanieka karibu na wataalamu wa vitu hivyo

Mimi napenda sana masuala ya benki pia international trade pia nazimia sana masuala odditing ila sina uelewa ni kozi gani nieke kwenye multiple application

Uzi huu unahitaji msaada mkubwa maana nimeshafanya literature review lakini nakutana na actress na aktekcha

Kwa maelezo ni kwamba ni shauku yangu kusoma basi kuhusu ajira siwazi wala sio kipaombele zaidi maana nimesoma EGM na matokeo ya 4 nina A B na C tu sijapata d au f

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nenda kasome BAF ya mzumbe au Bcom pale jalalani.
 
Back
Top Bottom