Biashara ya kisasa ya internet marketing

samida

Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
35
Reaction score
0
Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka kadhaa iliyopita. Teknolojia ya mawasiliano imekua kwa kiasi kikubwa, kinachosababisha urahisi wa kupata taarifa kwa urahisi na haraka.
Huduma ya mtandao wa intaneti ina nguvu kubwa sana katika kurahisisha mawasiliano. Naweza kusema imeuweka ukimwengu pamoja! katika nyanja zote.
Ukiangalia kiwango cha watu wanaotumia huduma ya mtandao wa intanet kwa Tanzania imekuwa kubwa. Hili suala limefanywa rahisi kupitia kuwepo na utitiri wa kompyuta na simu zinazowezesha huduma hiyo.
Lakini kuna wengi wetu tunatumia fedha nyingi hata kupoteza muda wetu katika mitandao ya intaneti bila kujua, au pengine kwa kutoamua kukamata fursa iliyopo kwenye mitandao hii.
Unaweza kutumia mtandao wa intaneti kupata fedha kutoka sehemu yoyote duniani kwa kuwashirikisha watu bidhaa au huduma ya kampuni fulani, mtu akipenda akanunua au kutumia huduma hiyo, kampuni inakulipa wewe kama asante kwa kuwapatia mteja. Unahisi hilo ni jambo gumu sana? Ni rahisi zaidi ya kula, tena kw dakika 1 unaweza kulifanya hata ukiwa kitandani umelala.
Nimebahatika kukutana na rafiki yangu ambaye anafanya biashara hii, aliponieleza nikagundua kuwa kuna fedha nyingi nilikuwa nazikosa. Yeye anafanya hii biashara kwa mwaka mmoja sasa. Alianza baada ya kuwa amesota muda mrefu bila kupata ajira, akashirikishwa biashara hii. Anavyoniambia mwanzoni alijua ni utapeli. Ila kwakuwa aliyemshirikisha alikuwa ni ndugu yake, akamuonesha na payment history tangu ameanza kufanya biashara aliamini.
Alijisajiri kwenye kampuni na kupewa link ya website na access ya back office ambayo inamsaidia kufanya kila kitu na kuonesha kila senti inayoingia kwenye akaunti yake.
Kwasasa anatengeneza USD 12,000 kila mwezi! hiyo inaweza kuwa fedha ya kawaida kwa wengine ila kwa wengine ni big deal. Jamaa anashinda nyumbani muda mwingi akiwa na laptop yake.
Uzuri wa biashara hii inafanywa hata na wale wenye majukumu mengi ya kazi. Ila naomba uelewe hii sio njia ya kukipatia utajiri, japo wengine wanakuwa matajiri baada ya miezi michache. Unapaswa kuwekeza katika MAARIFA ya kutosha kuhusiana na biashara hii, tena kwa mtu anayeelewa na kuifanya. Pia ni vizuri kujua kampuni unayotaka kuifanyia kama ni illegal pyramid scheme au la! Kuna organisation ambazo zinahusika na tathmini ya makampuni ya namna hii.
Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa intaneti, ni vizuri kufanya utafiti uone kampuni bora unayoweza kufanya nayo ili ujiongezee kipato.
Asante
 

Mkuu funguka zaidi kwa kutoa link za makampuni husika
 
NImeku-pm tayari nijuze mwana tafadhali naomba leo leo mkuuu
 
This is a future business mi ntk jiunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…