Ndugu zangu natangaza biashara ya vitunguu ambavyo bado vipo shamba ila mwisho wa mwezi huu vitakua tayari
Eneo ni tarime mkoa wa mara.
Hecta 2 tuu.
Asanteni sana.
Kwa mawasiliano. 0685125398
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushukuru ila naomba mawazo yeu pia maana ni mara yangu ya kwanza kabisa kuanza biashara hii na ni mavuno yangu ya kwanza kabisa
nipe namba yako tuyajenge mkuuNakushukuru ila naomba mawazo yeu pia maana ni mara yangu ya kwanza kabisa kuanza biashara hii na ni mavuno yangu ya kwanza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app