Michael Mbijima
Member
- Feb 13, 2025
- 10
- 2
SIjaweka bei eneo ni heka 2 na nusu na lipo barabarani mita kadhaa na lamiMkuu bei mbona kubwa sana na eneo linaonekana lipo ndani ndani sana na bondeni?
Na kwa nini hujaweka bei?SIjaweka bei eneo ni heka 2 na nusu na lipo barabarani mita kadhaa na lami
Duh! Mbona bei mkasi hivyo, naona nguzo za tanesco zimepita ndani ya kiwanja. Na hao ccm wanafanya nini tena humo, ndiyo wewe au
Nimeweka namba ya simu kama unahitaji nitafute ukakione upate na beiNa kwa nini hujaweka bei?
Ccm gani na nguzo zipi au umechanganya kureply kwanguDuh! Mbona bei mkasi hivyo, naona nguzo za tanesco zimepita ndani ya kiwanja. Na hao ccm wanafanya nini tena humo, ndiyo wewe au ni madalali?
Ume reply sehemu sioMilioni 10 Parefu Asee
Bei ni million 50 pia maongezi yapo ukishaona eneoNa kwa nini hujaweka bei?
Niwie RadhiUme reply sehemu sio
Niwie Radhi Kaka Mbona Kama Unaniandama SanaUme reply sehemu sio
Hakuna shida kakaNiwie Radhi
NipigieUkipunguza Bei Nakuletea Wateja Tele
Hiyo Bei Kuuza Ngumu Sana Hala Upande Ni Road Reserves
Sio dalaliDuh! Mbona bei mkasi hivyo, naona nguzo za tanesco zimepita ndani ya kiwanja. Na hao ccm wanafanya nini tena humo, ndiyo wewe au ni madalali?