M miss beauty Member Joined Feb 7, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Sep 17, 2019 #1 Habari za majukumu members, naomba kujua soko la korosho ambayo ni processed lipoje kwa nchi jiran ya uganda
Habari za majukumu members, naomba kujua soko la korosho ambayo ni processed lipoje kwa nchi jiran ya uganda
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Sep 17, 2019 #2 miss beauty said: Habari za majukumu members, naomba kujua soko la korosho ambayo ni processed lipoje kwa nchi jiran ya uganda Click to expand... Achana nako,Uganda ni nchi ya kiza
miss beauty said: Habari za majukumu members, naomba kujua soko la korosho ambayo ni processed lipoje kwa nchi jiran ya uganda Click to expand... Achana nako,Uganda ni nchi ya kiza
M miss beauty Member Joined Feb 7, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Sep 17, 2019 Thread starter #3 Kivip mkuu,fafanua kabombe said: Achana nako,Uganda ni nchi ya kiza Click to expand...
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Sep 18, 2019 #4 miss beauty said: Kivip mkuu,fafanua Click to expand... Utadhulumiwa tu,labda kama utakua unauza kwenye vikapu,tafuta masoko middle East yapo mengi tu
miss beauty said: Kivip mkuu,fafanua Click to expand... Utadhulumiwa tu,labda kama utakua unauza kwenye vikapu,tafuta masoko middle East yapo mengi tu
M miss beauty Member Joined Feb 7, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Sep 21, 2019 Thread starter #5 kabombe said: Utadhulumiwa tu,labda kama utakua unauza kwenye vikapu,tafuta masoko middle East yapo mengi tu Click to expand... Nashukuru kwa ushaur wako !
kabombe said: Utadhulumiwa tu,labda kama utakua unauza kwenye vikapu,tafuta masoko middle East yapo mengi tu Click to expand... Nashukuru kwa ushaur wako !
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 22, 2019 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw